WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO KABAMBE WA SEKTA YA UVUVI

*Asema mpango huo utakuwa chachu ya kuendeleza ukuaji wa uchumi wa buluu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa hadi kufikia asilimia 10 kwa mwaka kutoka asilimia 1.8 ya sasa. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa mpango huo ambao